WE,

Alhamisi, 22 Januari 2015

WANAFUNZI PAMOJA NA WAFANYAKAZI KATIKA MJADALA

 mkutubi (libralian) wa chuo  ndugu Juliana akiwa anapanga vitabu.
 wanafunzi wa QT  wakiwa libraly wakijisomea, na wanafunzi wa kozi zingine kama hotel management, accauntancy, n.k wakisoma magazeti ili kupata taarifa mbalimbali.
wanafunzi wa hotel management wakiwa kwenye mazoezi ya usaili (interview) yakiongozwa na mwl. maili Mr. Omondi mbele yao, yenye lengo la kuwajengea uwezo na ujasiri waitwapo kwenye interview mara baada ya kuhitimu masomo.
Mkuu wa chuo Madam Sarah Mkongwa akitoa shukrani zake za dhati kwa mgeni rasimi pamoja na watu wote kwa ujumla walioweza kufika na kufanikisha uzinduzi wa chuo cha COYETA.
WANAFUNZI WAKIWA KATIKA MDAHALO WA ASUBUHI KILA SIKU ZA IJUMAA LENGO NI KUWAJENGEA UIMARA WA KUONGEA KATIKA MIKUTANO, MAKONGAMANO N.K
WASILIANA NASI +255-763906570, 0784627428, 0769898482

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni