KARIBU COYETA MWANZA.
PO BOX 11836 MWANZA. Tel.+255282540305, +255762795301, +255689359799
Alhamisi, 29 Oktoba 2015
MAHAFARI YA WAHASIBU WA MAKANISA YA FPCT MWANZA
Wahitimu wa mafunzo ya uhasibu wa makanisa ya FPCT Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimu na kutunukiwa vyeti vya mafunzo ya uhasibu katika chuo cha CoYETa
Jumapili, 4 Oktoba 2015
WANAFUNZI WAKIWA DARASANI
WANAFUNZI WA KOZI YA HOTEL WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA KUFANYIWA USAILI KWA AJILI YA KUWAJENGEA UWEZO WATAKAPOKUWA WANAFANYIWA USAHILI MARA BAADA YA KUMALIZA CHUO
Afisa Taaluma Bw. Baraka Mnkeni akifundisha wanafunzi wa CoYETa
Ijumaa, 2 Oktoba 2015
MAKTABA YA CHUO
Mkutubi (libralian) wa chuo Madam Juliana Mchopa anapanga vitabu maktaba na hapa chini wanafunzi wanasoma magazeti ambayo huletwa maktaba kila siku za wiki
Jumanne, 22 Septemba 2015
KARIBUNI KUJIUNGA NA COYETA
WANAFUNZI WA QT WANAJIANDIKASHA SASA, WAHI USOME MIAKA
MIWILI TU FORM FOUR, KWA WAFANYAKAZI MASOMO HUTOLEWA JIONI BAADA YA KAZI.
WASILIANA NASI +255-763906570, 0784627428, 0769898482
Ijumaa, 15 Mei 2015
PICHA MBALIMBALI ZA SEMINA WA KUANDAA MPANGO MKAKATI
BAADHI WA
WADAU WAKISIKILIZA SEMINA YA MPANGO MKAKATI
MRATIBU WA
CHUO CHA COYETA YARED BABONA AKITOA HISTORIA YA KUANZISHWA KWA CHUO WAKATI WA SEMINA YA
KUANDAA MPANGO MKAKATI
MPANGO MKAKATI WA CHUO
MWEZESHAJI WA SEMINA YA KUANDAA MPANGO MKAKATI WA CHUO
MCH. GEORGE MWITA AKIENDESHA SEMINA HIYO CHUONI MWANZA
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)


