![]() |
|
Chuo chetu cha COYETA MWANZA Kipo eneo la Mlango Mmoja
katika jengo la vijana(vijana center) ukifika utapata mapokezi mazuri kuhusu
huduma zetu za kozi mbalimbali zinazotolewa.
|
![]() |
|
Hapa ni mapokezi na ukifika utapokewa na kupata maelezo kuhusu
huduma zetu za kozi mbalimbali.
|
![]() |
|
Muonekano wa darasa la kozi za computer katika Chuo chetu cha COYETA MWANZA .
|



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni